Home » » AVUA NGUO ZOTE NA KUBAKI UCHI KUONESHA JINSI MWILI WAKE ULIVYONONA KWA KUNYWA DAMU NA MAZIWA...

AVUA NGUO ZOTE NA KUBAKI UCHI KUONESHA JINSI MWILI WAKE ULIVYONONA KWA KUNYWA DAMU NA MAZIWA...

Written By kitulofm on Friday, 1 November 2013 | Friday, November 01, 2013


Kwa mujibu wa Dialy Mail  katika kabila linaloishi pembezoni mwa Ethiopia, Omo Valley ndipo alipoonekana mwanaume anayefahamika kwa jina la Gorge anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa mwanaume mnene! 

Kwa wa-Ethiopia ukubwa wa mwili au mwanaume mnene ndio swaga..Na mshindi yaani mwanaume mnene huwa anachukuliwa ni bingwa kwa maisha yake yote!

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm