William
Masvinhu Akiwa kwenye pozi:
Hao ndio washiriki wote kwa ujumla ambapo William alitoka Kidedea.
William
Masvinhu kwa mara nyingine tena amenyakua taji la Mwenye Sura Mbaya
huko Zimbabwe katika shindano lililofanyika siku ya Ijumaa ndani ya
ukumbi wa City Sports Bar.
Amepewa taji, hela pamoja na Ofa ya mwanae mmoja kulipiwa ada ya shule kwa mwaka mmoja, mke wake William naye alikuwepo ukumbuni hapo na alifurahia sana ushindi huo wa mumewe.
Katika kujifaharisha na taji lake, William alisema" Ubaya wa Sura yangu ni wa Asili, ingawa nilijiaanda kidogo kwa shindano hili lakini mengine niliyaacha yajishughulikie yenyewe"
Amepewa taji, hela pamoja na Ofa ya mwanae mmoja kulipiwa ada ya shule kwa mwaka mmoja, mke wake William naye alikuwepo ukumbuni hapo na alifurahia sana ushindi huo wa mumewe.
Katika kujifaharisha na taji lake, William alisema" Ubaya wa Sura yangu ni wa Asili, ingawa nilijiaanda kidogo kwa shindano hili lakini mengine niliyaacha yajishughulikie yenyewe"
Hao ndio washiriki wote kwa ujumla ambapo William alitoka Kidedea.
CREDIT:JAMBO TANZANIA