Home » » MAHAKAMA YAWATUPA JELA MIEZI 12 MASHABIKI WA MBEYA CITY WALIOLETA VURUGU SIKU YA MECHI DHIDI YA PRISONS..!!

MAHAKAMA YAWATUPA JELA MIEZI 12 MASHABIKI WA MBEYA CITY WALIOLETA VURUGU SIKU YA MECHI DHIDI YA PRISONS..!!

Written By kitulofm on Friday, 1 November 2013 | Friday, November 01, 2013


MAHAKAMA ya mwanzo, mjini Mbeya, leo imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya sh.300,000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Tanzania Prisons.  Habari kamili inakuja...
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm