Home » » PINDA:SERIKALI ZA MITAA ZIGAWE MAENEO YA UWEKEZAJI

PINDA:SERIKALI ZA MITAA ZIGAWE MAENEO YA UWEKEZAJI

Written By kitulofm on Tuesday, 26 November 2013 | Tuesday, November 26, 2013




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema, Serikali za Mitaa zikiweza kujisimamia na kutoa maeneo kwa ajili ya uwekezaji, zinaweza kupiga hatua za kiuchumi.
Pia amezishauri  serikali hizo kuonyesha fursa zilizopo katika uwekezaji  kwa lengo la kuwashawishi wawekezaji.
Pinda aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa  Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China.
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm