Maandamano mjini Kiev
Upinzani nchini Ukraine unamatumaini kuwa waandamanaji hadi alfukumi
watajitokeza leo(01.12.2013)Jumapili na kutoa msukumo mpya kudai rais
Viktor Yanukovich ajiuzulu kutokana na mzozo wa uhusiano na Umoja wa
Ulaya.
Vyama vikuu vitatu vya upinzani vimesema vinaanzisha , "kikosi cha taifa
cha upinzani" baada ya polisi wa kuziwia ghasia kuwatawanya waandamanji
kwa kutumia nguvu na kuwajeruhi watu kadha jana Jumamosi.
Mkutano huo wa waungaji mkono upinzani ulivunjwa na polisi waliotumia virungu ambao waliwashambulia kiasi ya waandamanaji 1,000 katika uwanja wa uhuru katika mji mkuu Kiev mapema jana Jumamosi asubuhi(30.11.2013).

SOMA ZAIDI:DWKISWAHILI

0 comments:
Post a Comment