Vijana
wa Mwanjelwa wakiuzuia msafara wa Kinana wakati alipokuwa akielekea
uwanja wa Luanda Nzovwe kwenye mkutano jambo lililofanya Abdulrahman
Kinana na Nape Nnauye watembeee kwa mguu
Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakitembea kwa miguu katika eneo la Mwanjelwa huku vijana wakiwashangilia
Abdulrahman Kinana akiwa katika bajaji iliyomchukua
Nape Nnauye akiwa katika Bajaji iliyombeba
KWA PICHA NA MATUKIO ZAIDI TEMBELEA:FRANCIS GODWIN

0 comments:
Post a Comment