Home » » PICHA ZA TUKIO ZIMA LA UPASUAJI WA MTANZANIA ALIYEKUFA AKIWA AMEMEZA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA...ANGALIA PICHA ZA KUTISHA SANA

PICHA ZA TUKIO ZIMA LA UPASUAJI WA MTANZANIA ALIYEKUFA AKIWA AMEMEZA KETE ZA MADAWA YA KULEVYA...ANGALIA PICHA ZA KUTISHA SANA

Written By kitulofm on Thursday, 19 December 2013 | Thursday, December 19, 2013




Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.

Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.




Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.




Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili.



Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.



Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.



Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.



Kama uonavyo angalia yakiwa ndani ya utumbo mpana.



Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.



Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.



Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm