Hii ni baadhi ya eneo ambalo afisa kilimo kata ya Lupalilo Bw.Ngao alivyokuwa akiwaonyesha wanahabari jinsi ambavyo anahudumia mashamba yake
Hata hivyo amewataka wananchi wanaoishi katika kata ya Lupalilo kumpa taarifa mara kwa mara katika maeneo ambayo wanaona kuna dalili za mimea yao kutokuwa katika hali nzuri kwani yeye ndiye mtaalam wa kilimo katani hapo hivyo wamtumie kama anavyotakiwa kutumika
0 comments:
Post a Comment