Ukisikia maajabu ya dunia ama kali ya
mwaka 2014 basi hii hapa,Samaki mwenye ukubwa wa nchi nne aingia tumboni
mwa msichana kupitia sehemu za Siri za msichana huyo.
Tukio limetokea huko Bunda mkoani Mara katika kijiji cha Bwanza siku ya jana.
Tukio hilo
limetokea wakati msichana huyo akiwa amechuchumaa akichota maji kwa
ajili ya kumwagilia bustani ya vitunguu lakini alishangaa kuona samaki
akiruka kutoka ndani ya maji na kuingia sehemu zake za Siri na
alipojaribu kumvuta alishindwa kutokana na maumivu ya kuchomwa na miba
ya samaki huyo.
Samaki aliingia hadi kuzama kabisa hadi
tumboni hali iliyopelekea msichana huyo kuanza kusikia maumivu makali ya
tumbo mida ya saa 8 usiku na kisha kupelekwa hospitali na kudaiwa hana
tatizo hivyo familia ya msichana huyo imempeleka mtoto wao kwa mganga wa
kienyeji kwa tiba zaidi.
CHANZO:AMINIA EDWIN MOSHI
0 comments:
Post a Comment