Home » » ASKARI 9 WA JWTZ WAUAWA VITANI 2013

ASKARI 9 WA JWTZ WAUAWA VITANI 2013

Written By kitulofm on Tuesday, 4 February 2014 | Tuesday, February 04, 2014

Ni majonzi yasiyosahaulika katika kumbukumbu za Kitaifa nchini kufuatia mauaji ya wanajeshi tisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JTWZ);  waliuawa wakiwa katika harakati za kulinda amani huko Darfur Sudan Kusini pamoja na mapigano ya kuwaondoa waasi wa M23 nchini DRC Kongo.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm