Siku kama ya leo Mkuu wa wilaya ya Makete Mh.Josephine Matiro anakumbuka Tarehe ya kuzaliwa kwake kila mwaka hivyo ,Staff ya kitulo fm inakutakia heri ya kumbukumbuku ya kuzaliwa kwako na pongezi kwa yote unayoyafanya katika wilaya ya Makete na jinsi unavyotoa ushirikiano kwa wanahabari wilayani Makete
Home »
» MKUU WA WILAYA YA MAKETE LEO ANAKUMBUKA KUZALIWA KWAKE
MKUU WA WILAYA YA MAKETE LEO ANAKUMBUKA KUZALIWA KWAKE
Written By kitulofm on Saturday, 1 February 2014 | Saturday, February 01, 2014
Related Articles
If you enjoyed this article just click here, or subscribe to receive more great content just like it.
0 comments:
Post a Comment