Baadhi
ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho
ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11,
2014.
Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa katika wilaya yake.
Mkuu
wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi (Katikati) akipata
maelezo kutoka kwa mwalimu aliyetunga vitabu kama njia mojawapo ya
kuinua elimu mkoani humo, wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya makete
Mh. Josephine Matiro na anayefuata na afisa elimu mkoa wa Njombe Bw.
Said Nyasiro.
Wanafunzi wa shule za msingi wakiingia kwa maandamano katika viwanja vya mabehewani.
Wanafunzi wa sekondari nao wakiingia katika viwanja hivyo.
Kutoka
kushoto mkuu wa wilaya ya Ludewa Mhe. Juma Madaha, Mkuu wa mkoa wa
Njombe Mhe. Aseri Msangi, mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine
Matiro na Mkuu wa wilaya ya Njombe Mhe. Sara Dumba.
Mkuu wa mkoa akikabidhiwa risala kutoka kwa wanafunzi.
Afisa elimu mkoa wa Njombe Bw. Said Nyasiro akisoma taarifa ya elimu kimkoa.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mhe. Aseri Msangi akihutubia katika maadhimisho hayo.
Mkuu
wa wilaya ya Makete akimpongeza mwalimu wa shule ya msingi kitulo kwa
kupewa kikombe na Mkuu wa Mkoa baada ya shule hiyo kufanya vizuri katika
mtihani wa taifa mwaka jana.
Kikundi cha SUMASESU kutoka Makete kikitumbuiza katika maadhimisho hayo.
Picha ya pamoja
CHANZO:EDDY BLOG
0 comments:
Post a Comment