Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa
katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa
kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu
iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza au Papii wakiwa
katika chumba cha Mahakama ya Rufaa Tanzania kabla ya kuanza kwa
kusikilizwa kwa rufaa yao ya kuitaka mahakama hiyo kupitia upya hukumu
iliyotolewa Februari 10-2010 na mahakama hiyo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakiteta jambo na wakili wao, Mabere Marando
Mahakamani.
Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo.
Nguza
Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza 'Papii' wakiwa na
nyuso za furaha wakati wakitoka katika Mahakama ya Rufaa baada ya majaji
wa Mahakama ya Rufaa Tanzania kusikiliza maombi yao ya kuitaka mahakama
hiyo kupitia hukumu iliyoitoa mwaka 2010.
Nyuso za matumaini.......
Johnson Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.
Papii akinyoosha mkono juu kama ishara ya kumshukuru mungu.
Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.
Nguza Vicking 'Babu Seya' akiwa na Mwanawe Johnson Nguza wakati wakitoka mahakamani.
Baada ya majaji wa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam kupitia hoja za mawakili wa serikali na utetezi kwenye Rufaa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wameamua kuhairisha rufaa hiyo mpaka tarehe husika ya kutoa hukumu ya kesi hiyo itakapopangwa hapo baadaye
PICHA NA MSETO BLOG
0 comments:
Post a Comment