Home » » CHUO KIKUU CHA IRINGA CHAILETEA HESHIMA TANZANIA KATIKA SHINDANO LA TUZO YA HESHIMA YA SHERIA ZA VITA

CHUO KIKUU CHA IRINGA CHAILETEA HESHIMA TANZANIA KATIKA SHINDANO LA TUZO YA HESHIMA YA SHERIA ZA VITA

Written By kitulofm on Wednesday, 27 November 2013 | Wednesday, November 27, 2013

Washindi  wa tuzo hiyo chuo kikuu cha Iringa wakiwa na tuzo yao kushoto ni mkuu wa chuo Prof Nicholaus Bangu  na kulia wa kwanza na mkuu msaidizi wa kitivo cha sheria Bi Jane Massey
Makamu Mkuu  wa  chuo   kikuu  cha Tumaini Iringa, Prof Nicholaus Bangu kushoto akipokea tuzo  ya heshima ya sheria  za vita  kutoka kwa mkuu msaidizi  wa kitivo cha sheria  Jane Massey  huku wanafunzi walioshinda  wakishuhudia  zoezi hilo  leo

mkuu msaidizi wa  kitivo cha  sheria chuo kikuu cha Iringa Jane  Massey akikabidhiwa tuzo ya  heshima ambayo chuo  hicho kimeshinda katika mashindano yaliyoshirikisha  nchi saba Afrika na chuo  hicho  kunyakua tuzo hiyo kwa kuwa chuo cha kwanza

Mkuu  wa chuo  cha Tumaini (  chuo  kikuu cha Iringa ) Prof Nicholaus Bangu  akionyesha tuzo ya heshima ya  sheria  za kivita ambayo chuo chake  kimeiwezesha Tanzania  kufanya  vema                                                                             Na Francis Godwin    
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm