Home » » GLOBAL PUBLISHERS YALALAMIKIWA KWA KUMUWEKA HADHARANI MWANAFUNZI ANAYEDAI KUBAKWA NA KAPUYA

GLOBAL PUBLISHERS YALALAMIKIWA KWA KUMUWEKA HADHARANI MWANAFUNZI ANAYEDAI KUBAKWA NA KAPUYA

Written By kitulofm on Wednesday, 20 November 2013 | Wednesday, November 20, 2013





Baada ya Mange kimambi Kuona hii Video hapo juu Alikuwa na haya ya Kusema:
"Global publishers shame on you........
This is harrassment and unfair treatment ya mlalamikaji....
Hatusemi kama anaongea ukweli au kama ni muongo ila kwa jinsi mnavyomfanyia aiseeeeee
ingekuwa ni mimi na kesi ningeachana nayo especially coz kesi yenyewe ni ya kubakwa.
Alafu mnamtishia na kumtoa picha yake bila kuziba sijui nini na hatowafanya chochote...
Kwa kweli nimejisikia vibaya sana, sijui kama huyu binti ni muongo au kama ni mkweli ila Global wanataka kummaliza confidence yooooote......
VERY UNFAIR............
Hivi hawawezi tu kumuhoji mlalamikaji wakamsikiliza kama jinsi walimvyomuhoji Kapuya wakaandika alichosema  Kapuya.
wao wana mjudge mlalamikaji kama nani? Unajua mtu muongo ukimpa chance ya kujieleza kiurefu na kiundani huwa anajifunga kitanzi mwenyewe.
Sasa kama lengo lao lilikuwa kumuonyesha huyu binti ni tapeli wameshindwa sana sana wametuonyesha kuwa binti anaonewa na kunyanyaswa.
 
Kweli hizi nchi zetu ni tofauti sana na nchi zilizoendelea
nchi zilizoendelea yani hata kama huyo binti angekuwa muongo magazeti yooote yangekuwa on Kapuya's case yani uongo wa huyo binti ungekuja kujulikana mahakamni
ila nchi zetu za kimaskini magazeti yanamkandamiza maskini  mwenye nazo anatetewa....
 
Nchi za wenzetu ni guilty till proven innocent...lol.......
Yani hii kitu ingeplay very differently nchi zilizoendelea......ila kwetu binti keshasulubiwa na kuaibishwa kuwa ni tapeli wanamtajia na watu aliowatapeli mwenyewe anasema hawajui bado wanamlazimisha.....
Sasa huu ndo ukandamizaji wa wanawake........." MangeSource:Mange blog
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm