Nelson Mandela
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi
Cape Town.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela anapumua bila ya msaada wa mashine ingawa hawezi kuzungumza kwa sasa.
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela anapumua bila ya msaada wa mashine ingawa hawezi kuzungumza kwa sasa.
Mke wa zamani wa kiongozi huyo, Winnie
Madikizela-Mandela aliliambia Shirika la Habari la Ufaransa (AFP), kuwa
Mandela yuko chini ya uangalizi wa madaktari 22.
0 comments:
Post a Comment