Mursi afikishwa mahakamani
Kesi ya Rais wa Misri aliyeondolewa madarakani Mohamed Mursi imeanza
tena baada ya kuahirishwa na jaji.
Washtakiwa 14 walivuruga utaratibu wa
kesi kwa mayowe yao dhidi ya mahakama katika chuo cha mafunzo ya polisi
Cairo.
Wapinzani wa serikali inayoungwa mkono na jeshi wanasema kesi hiyo ni sehemu ya kampeni ya kukiangamiza chama chake cha Udugu wa Kiislamu na kurudisha utawala wa mabavu
HABARI ZAIDI NA DW
0 comments:
Post a Comment