Katika siku za karibuni Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika iliwahakikishia wakulima kwa mara nyingine tena kwamba Rais Jakaya Kikwete ametoa kauli ambayo inawaruhusu wakulima kuwa huru katika kuuza mazao yao iwe kwa soko la ndani au nje.
Kauli hiyo imetolewa na msemaji wa wizara hiyo Richard Kasuga wakati akizungumza na gazeti hili.
“Kwa sasa wakulima wameruhusiwa kuuza bidhaa zao
kwa namna wanavyotaka katika soko wanalotaka ili mradi wafuate sheria,”
alisema Kasuga.
SOMA ZAIDI:Mwananchi
SOMA ZAIDI:Mwananchi
0 comments:
Post a Comment