Home » » BARAZA LA USALAMA LATAFAKARI KUTUMA JESHI ZAIDI SUDAN KUSINI

BARAZA LA USALAMA LATAFAKARI KUTUMA JESHI ZAIDI SUDAN KUSINI

Written By kitulofm on Wednesday, 25 December 2013 | Wednesday, December 25, 2013

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York

Takriban raia 45,000 wa Sudan Kusini wamekimbilia kutafuta hifadhi katika kambi za Umoja wa Mataifa kufuatia mapigano makali yanayoendelea kushuhudiwa kuenea katika taifa hilo changa. 
SOMA ZAIDI:DWkiswahili

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm