Home » » MTANDAJI AGEUZA JENGO LAKE MAHAKAMA:DODOMA

MTANDAJI AGEUZA JENGO LAKE MAHAKAMA:DODOMA

Written By kitulofm on Saturday, 28 December 2013 | Saturday, December 28, 2013

Ofisa Mtendaji wa mtaa wa Chilwana kata kijiji cha Ihumwa Manispaa ya Dodoma, Athony Manji, amelalamikiwa na wakazi wa mtaa huo kugeuza jengo la ofisi yake kama sehemu ya mahakama.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na NIPASHE, wakazi hao walisema kuwa ofisa huyo kwa kutumia cheo chake, amegeuza jengo la ofisi kama mahakama ya kuwahukumu wananchi bila kufuata kanuni na taratibu za kisheria.
SOMA ZAIDI:NIPASHE
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm