Ofisi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaanika
wabunge 15, waliobainika kuchukua posho za safari bila kusafiri huku
wengine wakikatisha safari zao.
Akizungumza katika mahojiano maalumu jana na
mwandishi wa gazeti hili, Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah, alisema
tayari fedha hizo zimesharejeshwa kwa kukatwa kwenye mishahara yao.
SOMA ZAIDI
SOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment