Home » » ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MBEYA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA

ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MBEYA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA

Written By kitulofm on Saturday, 4 January 2014 | Saturday, January 04, 2014



Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea vizuri.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm