Baadhi ya watangazaji wa kitulo fm wakiwa katika picha ya pamoja na mwezeshaji kutoka katika mradi wa Tanzania Media Fund(TMF)Bw.Rechengula alipokuwa akitoa nondo za kuimarisha redio katika kuongeza kipato,ubora wa vipindi na mengine mengi
Tunapenda kukuomba radhi msomaji wa mtandao huu kwa kutopata habari kem kem kutoka katika mtandao huu takribani mwezi mmoja sasa hivyo tumerudi kwa ajili ya kukuhabarisha zaidi
0 comments:
Post a Comment