
Mwenyekiti
mpya wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Martha Qorro
akimkaribisha Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela
Mukangara (wa kwanza aliyekaa kulia) kuzindua Bodi hiyo jijini Dar es
Salaam leo.wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya
Utamaduni Prof. Hermas Mwansoko.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akiongea
na Wajumbe wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa mara alipozindua Bodi
hiyo jana jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment