Home » » TMF IMEONGEZA MABADILIKO KATIKA TASNIA YA HABARI

TMF IMEONGEZA MABADILIKO KATIKA TASNIA YA HABARI

Written By kitulofm on Tuesday, 4 February 2014 | Tuesday, February 04, 2014


Mkurugenzi mtendaji wa TMF, Bw. Ernest Sungura amesisitiza uboreshaji wa tasnia ya habari hasa katika njia ya mtandao; alisema hayo alipokuwa akizungumza na wanafamilia wa KwanzaJamii/Mjengwablog jana mchana, kushoto ni mkurugenzi mkuu wa wanafamilia hao, Mr. Maggid Mjengwa. 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm