Home » » NDOA YA BOB JUNIOR YAVUNJIKA...SOMA KISA NA MAELEZO YA STAR HUYO HAPA

NDOA YA BOB JUNIOR YAVUNJIKA...SOMA KISA NA MAELEZO YA STAR HUYO HAPA

Written By kitulofm on Wednesday, 30 October 2013 | Wednesday, October 30, 2013


Mkali wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa ametambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Bashasha aliyempa shavu Vanesa amesema kuwa ameachana na Mkewe ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa Kiume.

Msanii Bob Junior akifunguka kupitia Kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio amesema kuwa ameachana na mkewe kwa sababu ya wivu wa Mapenzi aliyokuwa nao huyo ambaye alikuwa mkewe ambaye ameweza kumzawadia Bob Junior Mtoto Mmoja wa Kiume.

Bob Junior amefunguka na kusema kuwa wale wote waliosema kuwa alioa ili aweze kupikiwa kipindi cha mfungo si kweli bali wameshindwana na mkewe kwa sababu za Kifamilia na Wivu wa Mapenzi,lakini mkali huyo hajaishia hapo bali amekaribisha Maombi kwa yoyote ambaye atakuwa tayari bali anapaswa kuwa na Tabia njema


-JAMBO TANZANIA
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm