Home »
» ANUSURIKA KUZIKWA AKIWAAI
 |
| Kaburi ambalo angezikwa huyo mzee |
 |
| Mume
wa Marehemu, Moses Pascal (27) mkazi wa Uyole Jijini Mbeya alisema
mkewe alifikwa na umauti walipokuwa wameenda kijijini kwao Shilanga kwa
ajili ya kilimo lakini kabla ya kifo cha Mkewe walikuwa wametoka
Hospitali kumtibu mtoto wao majira ya saa Tisa alasiri. |
 |
Mwenyekiti
wa kijiji cha Shilanga, Romani Tubuke, alisema lilitokea hivi karibuni
majira ya saa 9 alasiri wakati marehemu Salome Amosi (20) kupoteza
maisha akiwa anafua nguo katika mto uliojirani na kijiji hicho.
Mzee
mmoja mkazi wa kijiji cha Shilanga Wilaya ya Mbeya Mkoani hapa amenusurika
kuzikwa akiwa hai akituhumiwa kumuua mkwewe kwa ushirikina.
Tukio lilitokea hivi karibuni majira ya
saa tisa alasiri ambapo Mzee huyo Pascal Mwanjelanje(75) alinusurika kuzikwa
akiwa hai akituhumiwa kumuua mke wa mtoto wake aliyejulikana kwa jina la Salome
Amosi (20).
SOMA ZAIDI;eddy blog
|
0 comments:
Post a Comment