Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zamani wa Ireland
ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa
makuu,Bibi Mary Robinson ,wakati akimkaribisha ikulu jijini Dar es
Salaam jana
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa karika mazungumzo na Rais wa Zamani wa
Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa
makuu,Bibi Mary Robinson aliemtembelea jana Ikulu jijini Dar es
Salaam.(picha na Freddy Maro)



0 comments:
Post a Comment