Home » » BREAKING NEWS:-MJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NCHINI DK SENGONDO MVUNGI AFARIKI DUNIA

BREAKING NEWS:-MJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NCHINI DK SENGONDO MVUNGI AFARIKI DUNIA

Written By kitulofm on Tuesday, 12 November 2013 | Tuesday, November 12, 2013


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi amefariki dunia nchini Afrika Kusini ambako alipelekwa kupatiwa matibabu katika hospitali ya Milpark.

Dk Mvungi alijeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kichwani siku chache zilizopita, nyumbani kwake Kibamba Msakuzi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm