Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Beji ya Mapambano
dhidi ya Ukimwi na Katibu wa Hamasa na Chipukizi Taifa, Paul Makonda,
wakati alipokutana na Vijana hao wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wenye
lengo la kusambaza ujumbe kuhusu mapambano dhidi ya maambukizi ya
ugonjwa wa Ukimwi, kuelekea kilele cha siku ya Ukimwi Duniani Desemba 1.
Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na
Vijana wa UVCCM, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika jana jijini Dar
es Salaam. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Vijana wa
CCM, baada ya mazungumzo yao alipokutana nao jana kwa ajili ya
kumkabidhi ujumbe kuhusu mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa
Ukimwi, kuelekea kilele cha siku ya Ukimwi Duniani Desemba 1. Picha na
OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na
Vijana wa UVCCM, baada yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Picha na
OMR

0 comments:
Post a Comment