Home » » PICHA: BIBI MCHAWI APIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUDONDOKA KWENYE NDEGE ALIYOKUWA ANASAFIRIA..

PICHA: BIBI MCHAWI APIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUDONDOKA KWENYE NDEGE ALIYOKUWA ANASAFIRIA..

Written By kitulofm on Monday, 4 November 2013 | Monday, November 04, 2013


Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha.




Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm