Akizungumza na wanafunzi wa baadhi ya shule hizo mh
Matiro aliambiwa na wanafunzi hao kuwa mitihani hiyo ambayo walikuwa
wameshaifanya na mingine ilikuwa bado, kuwa ilikuwa mirahisi na wote
watachaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani kwani wote watafaulu
Wanafunzi hao walimweleza mkuu wa wilaya kuwa
wamesoma kwa bidii na wanauhakika wa kufaulu hata mitihani ambayo walikuwa
hawajaifanya kwa muda huo ambao mkuu huyo alikuwa anazungumza nao
Kitu ambacho mtandao huu ulikikariri kutoka kwa mh
Matiro ni kuwataka kuwa makini na kutopaniki wakati wakifanya mitihani yao na kuwa anategemea
wote watafaulu
Ifuatayo hapa chini ni tathmini ya haraka yenye
kuonesha matokeo ya wanafunzi wa shule za msingi alizoweza kuzitembelea mkuu wa
wilaya ya Makete na kuahidiwa kuwa watafaulu, jionee mwenyewe matokeo ya shule
hizo alizozitembelea mkuu wa wilaya
Angalia matokeo ya jumla tuu kwa kila shule
aliyoitembelea mkuu wa wilaya
1.MASISIWE PRIMARY SCHOOL - P2602061
WALIOFANYA
MTIHANI : 22
WASTANI WA SHULE : 107.7273
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 47 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 210 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5479 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 107.7273
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 47 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 210 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5479 kati ya 15656
==========
2. IKETE PRIMARY SCHOOL - P2602008
WALIOFANYA
MTIHANI : 13
WASTANI WA SHULE : 109.7692
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 37 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 183 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 4989 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 109.7692
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 37 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 183 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 4989 kati ya 15656
======
3. MALIWA PRIMARY SCHOOL - P2602059
WALIOFANYA
MTIHANI : 29
WASTANI WA SHULE : 91.4138
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 80 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 362 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 10137 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 91.4138
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 80 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 362 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 10137 kati ya 15656
-----=====
4.SUNJI PRIMARY SCHOOL - P2602080
WALIOFANYA
MTIHANI : 35
WASTANI WA SHULE : 99.9429
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 66 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 289 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 7504 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 99.9429
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 66 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 289 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 7504 kati ya 15656
=====
5.LUPILA PRIMARY SCHOOL - P2602043
WALIOFANYA
MTIHANI : 30
WASTANI WA SHULE : 99.7333
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 68 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 296 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 7579 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 99.7333
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 68 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 296 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 7579 kati ya 15656
======
6.TANDALA PRIMARY SCHOOL - P2602081
WALIOFANYA
MTIHANI : 45
WASTANI WA SHULE : 117.0667
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 26 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 126 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 3530 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 117.0667
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 26 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 126 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 3530 kati ya 15656
======
7.LUPALILO PRIMARY SCHOOL - P2602042
WALIOFANYA
MTIHANI : 29
WASTANI WA SHULE : 136.3793
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 9 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 48 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 1369 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 136.3793
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 9 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 48 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 1369 kati ya 15656
=======
8.MAGO PRIMARY SCHOOL - P2602048
WALIOFANYA
MTIHANI : 21
WASTANI WA SHULE : 108.1429
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 43 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 199 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5371 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 108.1429
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 43 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 199 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5371 kati ya 15656
=======
9.KISINGA PRIMARY SCHOOL - P2602036
WALIOFANYA
MTIHANI : 25
WASTANI WA SHULE : 108.0000
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 44 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 202 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5406 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 108.0000
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 44 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 202 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 5406 kati ya 15656
=========
10.NDULAMO PRIMARY SCHOOL - P2602075
WALIOFANYA
MTIHANI : 83
WASTANI WA SHULE : 92.1446
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 78 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 357 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 9904 kati ya 15656
WASTANI WA SHULE : 92.1446
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 78 kati ya 96
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 357 kati ya 454
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 9904 kati ya 15656
Mkuu wa
wilaya ya Makete Josephine Matiro akiongea na wanafunzi wa Ndulamo wakati
wakifanya mitihani yao
ya mwisho
Na Edwin Moshi
|
0 comments:
Post a Comment