Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji
Mstaafu Hilary Mkate Jana Oktoba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam.
Rais
Jakaya Kikwete akimfariji Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu
Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate
jana Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam.PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment