Home » » RELI YA TAZARA YAZIDI KUHUJUMIWA MKOANI MBEYA

RELI YA TAZARA YAZIDI KUHUJUMIWA MKOANI MBEYA

Written By kitulofm on Wednesday, 27 November 2013 | Wednesday, November 27, 2013

Picha Na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu
WAKATI SERIKALI IKIWEKA MIKAKATI YA KUNUNUA VICHWA VYA TRENI  YA TAZARA HUKU WENGINE WANAFANYA KAZI YA KULIHUJUMU SHIRIKA HILO KWA KUFUNGUA NA KUIBA MATALUMA YA RELI HIYO KUPELEKA KUUZA KAMA VYUMA CHAKAVU.


Treni hiyo inapita mlemle kulikofunguliwa bolt
HII HATARI SANA HAPA TAYARI WAMEFUNGUA NATI ZOTE.


Jamaa washamaliza kuiba vyuma vya kingo za daraja la treni maeneo mbalimbali mbeya


KWA HABARI NA PICHA ZAIDI TEMBELEA:KAMANGA NA MATUKIO
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm