Kuondolewa kwa adhabu ya bakora shuleni kumesababisha wanafunzi wengi
kukosa nidhamu na kujiingiza katika mambo ya anasa na kupata ujauzito
visiwani Zanzibar.Hayo ni maoni ya baadhi ya wazazi wa kijiji cha Chwaka waliohojiwa na NIPASHE kufuatia malalamiko ya kukithiri kwa ndoa na mimba za utotoni kijijini hapo.
SOMA ZAIDI:NIPASHE
0 comments:
Post a Comment