Ofisa Mtendaji wa mtaa wa Chilwana kata kijiji cha Ihumwa Manispaa ya
Dodoma, Athony Manji, amelalamikiwa na wakazi wa mtaa huo kugeuza jengo
la ofisi yake kama sehemu ya mahakama.Wakizungumza kwa nyakati tofauti na NIPASHE, wakazi hao walisema kuwa ofisa huyo kwa kutumia cheo chake, amegeuza jengo la ofisi kama mahakama ya kuwahukumu wananchi bila kufuata kanuni na taratibu za kisheria.
SOMA ZAIDI:NIPASHE
0 comments:
Post a Comment