
Mamia ya abiria, wamekwama kusafiri katika Kituo Kikuu cha
Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo jijini Dar es Salaam
kutokana na upungufu wa mabasi.
Abiria hao pia wamelamikia ongezeko kubwa la
nauli ambazo sasa zimefikia Sh70,000 kutoka Sh23,000 kwa mabasi ya
kwenda katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Iringa.
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
SOMA ZAIDI:MWANANCHI
0 comments:
Post a Comment