Na Veronica Mtauka
Jamii imetakiwa kutambua
suala la ulinzi na usalama wa mtoto ni la kila mmoja wetu na sio kuyaachia
mshirika pamoja na madhehebu ya dini.
Haya yamesemwa hapo jana na mkuu wa
wilaya ya Makete mh. Josephine Rabi Matiro kwenye mafunzo ya ulinzi na usalama wa mtoto kwa washimiwa madiwa
pamoja na wakuu wa idara mafunzo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya
wilaya ya makete
kwa upande wake afisa ustawi
wa jamii ambae pia alikuwa muongozaji wa mafunzo hayo Bi.Sechelela Dagaa
amesema wao kama ustawi wanachangamoto kubwa ya bajeti na kuomba waheshimiwa
madiwanikuliangali suala hilo kwa umakini mkubwa ili waweze kuwasaidia watoto
wa wilaya ya Makete ambao wengi wao wanaishi katika mazingira hatarishi.

0 comments:
Post a Comment