Home » » RAIS KIKWETE AKABIDHIWA KATIBA MPYA

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA KATIBA MPYA

Written By kitulofm on Tuesday, 31 December 2013 | Tuesday, December 31, 2013

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete leo amepokea rasmi Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge maalum la Katiba. 
 
Rais Kiwete aliipokea Rasimu hiyo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba katika makabidhiano yaliyofanyika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
SOMA ZAIDI:MICHARAZO MITUPU BLOG
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm