Home » » MMOJA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI WILAYANI MAKETE KWA KUTEKA NA KUMBAKA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 15

MMOJA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI WILAYANI MAKETE KWA KUTEKA NA KUMBAKA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 15

Written By kitulofm on Tuesday, 7 January 2014 | Tuesday, January 07, 2014

Kijana mwenye umri wa miaka 36 anaetambulika kwa jina la Frasic Pila mkazi wa Iwawa anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Makete kwa kosa la kumteka nyara na kumbaka binti mwenye umri wa miaka kumi na tano jila limehifadhiwa.

Akizungumza na kitulo fm kwa niaba ya Mkuu wa polisi Wilaya ya Makete  OCD ,Mkuu wa upelelezi Wilaya OC CID  Bwana Gozbert Komba amesema tukio hilo lilitokea siku ya tarehe tatu mwezi huu maeneo ya Iwawa na wao walipata taarifa siku ya tarehe tano kutoka kwa Bwana Erick Mahenge ambae ni mfanyabiashara wa hapa mjini.

Amesema polisi wanatarajia kumfikisha mahakamani siku chache zijazo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm