Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Nishati
na Migodi wa Algeria Mhe. Youcef Yousif aliyemtembelea Ikulu Dar es
salaam Jana Desemba 7, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya Pamoja na Waziri
wa Nishati na Migodi wa Algeria Youcef Yousif pamoja na ujumbe wake,
pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospter
Muhongo Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Steven Masele na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhe E. maswi ugemi huo
ulipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2014.


0 comments:
Post a Comment