Rais Jakaya Kikwete amewataka wadau wa haki na sheria na vyombo
vyote kushirikiana pamoja katika utendaji kazi, ili kuwawezesha walengwa
kupata haki zao kwa wakati.
Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria
nchini yaliyofanyika viwanja vya Mahakama Kuu jana, Rais Kikwete alisema
ni ukweli usiopingika ili haki itolewe kwa wakati inahitaji ushiriki wa
wadau wote wanaosimamia haki na sheria.
0 comments:
Post a Comment