Home » » MANGULA APEWA SOMO NA MUJATA MKOANI MBEYA

MANGULA APEWA SOMO NA MUJATA MKOANI MBEYA

Written By kitulofm on Sunday, 2 February 2014 | Sunday, February 02, 2014


Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula katika mkutano wake na Wanachama wa Mujata uliofanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Mbeya uliopo Sokomatola Jijini Mbeya

Viongozi wa Mujata wakiwakilishwa na machifu wa mkoa wa Mbeya wakimvisha Shuka Makamu Mwenyekiti kama ishara ya kumkaribisha Mkoani Mbeya na kuwa Mlezi wa Mjata popote aendapo.



Mwenyekiti wa Mujata, Chifu Shayo Soja Masoko akimkabidhi Zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM

Wajumbe wa Mkutano kati ya Mujata na makamu Mwenyekiti wa CCM Philip Mangula wakifuatilia kwa makini Risala inayosomwa na Katibu wa Mujata Uswege
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm