Home » » MWENYEKITI WA KIJIJI AWEKWA KITIMOTO KWA KUNG'OLEWA MADARAKANI MAKETE

MWENYEKITI WA KIJIJI AWEKWA KITIMOTO KWA KUNG'OLEWA MADARAKANI MAKETE

Written By kitulofm on Saturday, 1 February 2014 | Saturday, February 01, 2014



Wananchi wa kijiji cha Makangalawe kata ya Mang’oto wilayani Makete wamemtoa madarakani mwenyekiti wa kijiji hicho kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za Ardhi

Awali mwenyekiti huyo alikuwa na tuhuma za kupokea fedha za pango la ardhi bila utaratibu na kupelekea wananchi hao kumuondoa madarakani na kumuweka kitimoto siku ya  hapo jana mwenyekiti huyo


Aidha wananchi hao wamemuomba Mkuu wa wilaya ya Makete kufika katika kijiji hicho ili kujionea hali halisi iliyopo kijijini hapo

Kwa habari zaidi kuhusu Maendeleo ya sakata hili endelea kutembelea Mtandao huu

Na Riziki Manfred 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm