Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda
akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali
ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na
badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania
kupata Katiba mpya. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dodoma).

0 comments:
Post a Comment