Home » » BENKI YA NIC ARUSHA YATOA MISAADA KWA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA

BENKI YA NIC ARUSHA YATOA MISAADA KWA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO WA SHULE MAALUM YA DYMPHNA

Written By kitulofm on Thursday, 27 March 2014 | Thursday, March 27, 2014

Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa Benki ya NIC.
Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa  wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa Bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo Sakina kwa Idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.


Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC.
Untitled 11

Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC, na BENKI YA NIC wakiwa pamoja na misaada waliyobeba na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ziara ya kuwatembelea kituo hicho  ambacho ni maaalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo.
CHANZO:MO-BLOG
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

KITULO FM LOGO

KITULO FM LOGO
Tusikilize masaa 18 kwa siku kupitia masafa ya 97.0 FM ukiwa wilayani Makete mkoani Njombe na maeneo ya jirani

WASOMAJI WETU

KUMBUKUMBU YA HABARI ZETU

 

Copyright © 2013. KITULOFM BLOG - Haki zote zimehifadhiwa
Imetengenezwa na Edwin Moshi
Inawezeshwa na Kitulo Fm