Wabunge wa upinzani wote wamesusa na kuondoka katika Bunge La Katiba kwa madai ya kuchoka matusi wakati wakitoa michango yao.
Wabunge wa kundi la UKAWA wameondoka ndani ya ukumbi wa bunge na makamu mwenyekiti anasema kuwa wakati wanaanza kikao cha bunge kolamu ilikuwa imetimia hivyo kanuni inawaruhusu kuendelea
CHANZO:EDYY BLOG
0 comments:
Post a Comment