Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Kongamano hilo lililofanyika
kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, limeandaliwa na
Taasisi hiyo ya (NIMR). (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua pazia kuashiria kuzindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR), lililofanyika kwenye Ukumbi
wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa
na Taasisi hiyo ya (NIMR). Kutoka (kushoto) ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt.
Mwele Malecela, Naibu Waziri wa Afya, Kabwe Steven na Mwenyekiti wa
Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuashiri kuzindua Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti
Bora wa Afya, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi
ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR), lililofanyika kwenye Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na
Taasisi hiyo ya (NIMR). Kushoto ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt. Mwele
Malecela (katikati) ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya
Utafiti NIMRI, Steven Magesa, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la
Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Lililofanyika
jijini Dar es Salaam, leo Aprili 22, 2014. Katikati ni Mwenyekiti wa
Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya
Utafiti NIMRI, Prof. Wenceslaus Kilama, wakati wa ufunguzi wa Kongamano
la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR).
Lililofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 22, 2014. Katikati ni
Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na wanasayansi waliopata tuzo bora za
mwaka za wanasayansi wa mwaka wa NIMR, baada ya kukabidhiwa.
Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.
CHANZO:MO-BLOG
0 comments:
Post a Comment