Aliyekuwa Katibu
Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha
vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM
baada ya kurudi rasmi.
Mwenyekiti wa
Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi
kadi ya CCM kwa moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.
Mwenyekiti wa
Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akihutubia
wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM imejipanga
kuendelea kuleta maendeleo ya nchini.
Mwenyekiti wa
Vijana Mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wilaya ya
Itilima Ndugu Njalu Silanga (wa katikati) akiwa pamoja na viongozi wa
Chama wilaya ya Meatu.
CHANZO:EDDY BLOG
0 comments:
Post a Comment