Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Katika Idara ya
Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe. Gregory Baker
(Minister of State at the Department of Energy and Climate Change),
Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la
Katiba Mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Afya
na Ustawi wa Jamii, Dkt, Seif Rashid (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali wa Zamani, Andrew Chenge (katikati) wakiteta kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watoto Waziri Mkuu wa Zamani,
Hayati Rashidi Mfaume Kawawa, Vita (katikati) na Zamaradi (kulia) kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment